|
Watanzania
Travel documents The Consulate of the United Republic of Tanzania in The Netherlands does not issue any travel documents. A) Issuance or renewal of passports For the application of these documents you can contact the following address: Embassy of the United Republic of Tanzania Phone: 0032 2 6406500 Consular assistance The Consulate provides assistance to Tanzanian nationals requiring consular access to them while in the consular district. In case of detention of a Tanzanian subject in the Netherlands the subject will be informed by the authorities that, if he or she wishes, the police will notify the Consulate about the detention. The Consulate has the right to visit the detained person. In case of death of a Tanzanian subject in the Netherlands, local authorise are obliged to inform the Consulate immediately. Makaratasi ya Kusafiria Uwakilishi wa Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi hauhusiki na shughuli zozote za utoaji makaratasi ya kusafiria kwa watanzania waishio nchini. Watanzania waishio Uholanzi, wanaweza kutuma maombi yao kwenye ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji. Kwa maombi yafuatayo: A. Ombi la pasipoti mpya au kuongeza muda Kwa maombi ya vipengele vya hapo juu. Tafadhali wasiliana na ubalozi wa Tanzania nchini Ubelgiji. Anwani : Embassy of the United Republic of Tanzania Simu : 0032 2 6406500 Uwakilishi wa Consulate Consulate inatoa huduma kathaa kwa watanzania waliopo hapa nchini na kama swala au tukio ilo linaitaji uwakilishi wa Consular. Unaweza kuwasiliana na ofisi yetu iliyopo hapa nchini. Anwani : The Consulate of the United Republic of Tanzania Simu : +31(0)180 320939 Kwa matukio yafuatayo: Iwapo mtanzania yeyote atakaye kuwa chini ya mambo ya sheria (mahabusu au kifungoni) na angependelea kushirikisha ofisi yetu (Consulate). Mtuhumiwa ana haki ya kuifaamisha polisi au chombo chochote cha sheria kinachoshughulikia kesi hiyo kuifahamisha ofisi yetu iliyopo hapa nchini Uholanzi. Tanzanians in the Netherlands Moreover members of the Tanzanian community in the Netherlands can seek consular assistance. Name : Kumekucha Watanzania nchini Uholanzi Kwa jumuia ya watanzania iliyopo hapa nchini wenye kuitaji uwakilishi wa Consulate, mnaweza kuwasiliana na ofisi yetu. Consulate inasaidia kikundi cha watanzania kilichopo hapa nchini. Kikundi hicho kinaitwa 'Wabongo'. Thumuni la kikundi hiki ni kuongeza mawasiliano kati ya watanzania waishio Uholanzi, kibinafsi au kijumuia. Wewe kama mtanzania unajependelea kujiunga katika jumuia ya wabongo, unaweza ukawasiliana nao kwa anwani ifuatayo: Name : Kumekucha
|